Aje
by Alikiba
Ucheshi na sauti
amenifanya nam-miss tu
Mwambie asiogope
Ali ni kipenzi cha watu
Ntafanya party nyumbani
hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
asiogope aje na wenzake
Ntafanya party nyumbani
hiyo yote kwa ajili yake
Tena asije peke yake
asiogope aje na rafiki zake eh
Basi mwambie aje (aje)
oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje)
asije peke yake (aje)
Oh aje (aje)
aje, oh aje (aje)
Aje jamani aje (aje)
aje nam-miss aje (aje)
Uzuri wake timilifu
nshamuona na watu maarufu tu
Kina wema Sepetu
Nikaomba namba bichwa akanishushua shuu
Ilinikosesha raha
Lulu nae kamdanganya
Kwamba mi ni wa kwake
aniogope tena asinichekee
Ilinikosesha raha
Lulu nae kamdanganya oh
Kwamba mi ni wa kwake
aniogope tena asinichekee
Basi mwambie aje (aje)
oh aje (aje)
Aje na rafiki zake (aje)
asije peke yake (aje)
Oh aje (aje)
aje, oh aje (aje)
Aje jamani aje (aje)
aje nam-miss aje (aje)
oh aje, aje na rafiki zake huyo,
Ohhhh
aje leo, leo oh aye
mwambie, ama ni french girl
niiongee naye
viens mon amour
je suis quelque du bien
je vais veille sur moi
et toi tu vas veille sur moi
c’est toi mal joie
je ne peux etre content sans toi
je vais veille sur toi
je suis quelque du bien
je vais veille sur moi
et toi tu vas veille sur moi
c’est toi mal joie
je ne peux etre content sans toi