Swahili Song Lyrics of East Africa

Biashara (Remix)

by Stella Mwangi

featuring Khaligraph Jones and Kristoff

Biashara Remix by Stella Mwangi, Kenyan Swahili artist

Verse 1 – Stella Mwangi
Me and biashara
Close Sintara
Flow so tight ask Chris Kantadda
Young Impala, ass like prada
Na kama huwezi shikanisha basi wee ni falaaaa!…..
Yeah basi we ni fala
Mi na enda pale kila kitu dola dola
President moi kibaki wanna hola
Na oneeesha kindooole pole
Tumbo tumbo kubwa kama rick ross
Pesa zetu munafanyia WHAT..????
Kazi kwa vijana pesa kwa ma boss
Washa kuwa floss
Eti wasanii wataget ganji 2030
Nitakuwa 54, made it under 30 eehh
mbere ta mohuko wa shati ya Khaki Jet karatasi
Karekeeee eeehh
Mi ni st-ella the bigger the better
i emcee on the mic, come test her
Hii biashara ni kaa Mpesa
Wee send, nta recieve
Kaa usend , sku’skii
 
Chorus
Biashara ni? Biashara
 
Verse 2 – Khaligraph
Biashara niko busy
Na mziki ndio huwa Ni grizzy
Na flow ingine maji maji utadhani Gidi Gidi,
In otherwards niko Tei na Jaba
Ju niliskia pia kukula Mei Ni swagger
Am from the business land Nairobi to be specific
Crooked popos na Changaa illicit
River road Baibe , that’s where u gonna find me,
I be getting ka money fast Conning people hadharani
Nikona mpesa coperative nikona Equity
Pesa Ni mingi nimeivisha so me Nina publicity
Paparazzi piga ma Picha then tuzione BBC
Ntashika am mita, biz imejipa ju nime sign na DTP
Biashara Baibe what it do miss Stella
Am the man with the power so I’ll make you feel like Cinderella
And am making it shower so hope you got ur umbrella
Yo it’s biashara Baibe stella go ahead and tell em
 
Chorus
 
Verse 3 – Kristoff
Nikiwa na STL siunajua graph huwa ni khali,
Ju miupenda kuchew gum unaeza nipata hurli,
Asalaam aleikum,waleikum salam,
Miupenda Mpesa,Pesa pap na Mshwari,
Hustler ambaye upeel doe kama ndizi,
Mihu peek n peel, uyu boy sinimjuicy,hisi,
Flow chizi ka matiba,na ziko on point ka,AbdubaDida!!
Biashara,leta pesa,
Weka doe,kwenye mkeka,
Minaleta,hekaheka,
Flow nutty ka proffesor,
Kristoff, ndo ana tesa,
Kila time,weka pressure,
Pima na tapemeasure,
Kula Ethiopian,hapo Habesha, (aah)
Anapenda Rose na yeh si Amber,
Nikama vindeoo,unaeza thani ni Mkamba,
Biashara ndio Mi ulamba,
Pesa imenifanya mweupe skuizi ka Pamba….(kristoff)