Swahili Song Lyrics of East Africa

Black Chata

by Black Rhino

Chorus
Black chataaaaaaaa
Black chataaaaaaaa eeeehhh eeeehhh
Rhino: pande zote za mtaa wanajua mi ni masta
Black chataaaaaaaa
Black chataaaaaaaa eeeeh eeeehh eeehh
Rhino: nakaba mpaka vivuli ona winga inavyokata
Black chataaaaaaaa
Black chataaaaaaaa

Verse 1
Kudadadadeki naflow nablow style zangu zinachoma kama moto
hebu check ninavyoblow
Heiiiyaaaaaa!!! wanauliza mbona mimi sitoki
Namba moja kila siku kwenye chati sitoki
Naflow nafloat siwezi kulost siwezi kufanya mambo yatakayonikosti
Hawani-malizi hawanikatizi sifanani nao kama macho yawa-chinnese
Sifanani nao check level za anga hizi mimi mgumu daima nitadumu
Wao kama mayonizi na bado nimo humuhumu na kato sitosizi
Sichimbiki sipimiki na sifunikiki kama mercury sakafuni mi huwa simwagiki
Hii ndio desturi asiyenipenda ona atajenga chuki
The Dan dada nasoma jalada nachoma mashada/hapa mi ndio kada ok…!

Chorus

Verse 2
Hawa mapungazeze wala hawafikiri
Risasi zao ni maji kwangu hazina dili
Na wala hamnitishi hata mkija wawili
Ujanja wangu mitindo yangu sio ya kuikabili
Salute nastahili/ kuruti hunikabili
Nanyuti ukijenga chuki hunikuti kimashairi
Mi ndio namba 1 gangstar, eeh namba 1 rapstar
Namba 1 for real we namba 1 wanksta
Mi ni don wa madon/boss wa maboss
Kama fire mimi nina burn wananiona mi mikosi
Eeh kaa mbali ni kama nakupa tu tahadhari
Jihadhari usishindane na mimi kwa mistari
Mi ni soo / jooh/ nimepita sana madojo
Ulimi laini kama mifupa ya wabogojo
Unaona bwana/Waeleze waeleze bwana black chata bwana we are

Chorus
Black chataaaaaaaa
Black chataaaaaaaa eeeeeh eeeeeeeehh

Rhino: pande zote za mtaa wanajua mi ni masta
Black chataaaaaaaa
Black chataaaaaaaa eeeeeeh eeeeeeeh

Rhino: nakaba mpaka vivuli ona winga inavyokata
Luchi: L .U. double C. I , Mi ndio luchi so fly
Najijua najidai kama hupendi take a hike
Guess what kwenye verse like luchi kama lifestyle
Luchi ndio famous tena soja

Hook
heeeeeeeey heeeeeeey heeeeeey heeeeeeeey
heeeeeeeey heeeeeeey heeeeeey heeeeeeeey
you know what it is
heeeeeeeey heeeeeeey heeeeeey heeeeeeeey
heeeeeeeey heeeeeeey heeeeeey heeeeeeeey
it’s your boy
Rhino: blacka blacka blacka, rhino baby!
You know what it is!