Swahili Song Lyrics of East Africa

Bora Nife

by Aslay

featuring Bahati

Bora Nife by Aslay featuring Bahati

Ehhh_ooh
mwili umejaa vidonda donda
kisa kupenda aaah
Naitwa bwege nahisi kwa kuhonga honga
Sabuni chooni
namaliza mimi kwani jamani

Kama Mwajumaa
nimempa simu cha ajabu kani block
Salimaaaa
hataki mapenzi anataka pochi
Magumu Avelinaaa
baada ya kumpa gari eti hanitaki
Nguvu sinaa eeh
Wololoo loooo
Ay bora nifeee
Huenda nitagomboka pengine

Ay bora nifeee
Huenda nitagomboka pengine
Kwani nasubiri nini duniani
nasubiri nini

Kwani nasubiri nini duniani
nasubiri nini
Niliempendaga mwenzangu
akaumiza roho yangu tu
Kaniwazisha niwe padri
nihudumie kanisa tu

nikaogopa mapenzi tu
Tena usinywe na sumu ukautoa uhai (ya nini)
Usijemlaumu alokuacha zamani (zamani)
Ukikata na roho utajibu nini siku ya kiama
Kama Diana
nimempa simu cha ajabu kani block
Ayeee Peninaaaa
hataki mapenzi anataka pochi
Mama Ivanaa
baada ya kumpa gari eti hanitaki
Nguvu sina

Ay bora nifee bora nifeeee
huenda nitagomboka pengine
Labda nitagomboka 
Ay bora nifeee 
huenda nitagombokaa pengine
(Usiseme usiseme)
Kwani nasubiri nini
duniani
nasubiri niniii nasubiri nini eeh
usiseme
Kwani nasubiri nini
duniani
nasubiri nini

Japokuwa hujaniwish hii hii
kwenye birthday yangu
ila usikose mazishi
kwenye Msiba wangu
Japokuwa huja ni wish hii hii
kwenye birthday yangu
ila usikose mazishi
Siku ya msiba wangu