Swahili Song Lyrics of East Africa

Hakunaga

by Suma Lee

hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe

hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa
hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa

kosa lako naomba msamaha mi hakunaga
ila naomba msamaha yapate ishagaaa
na wewe umenivumilia sana mi, sijaonaga
angeshakuwa kuwa mwingine keshanimwagaa
siku twagombana, siku twapatana
wanavyokuwa wanajua tumeachana
kesho watuona si twatekenyana
kikweli mi na wewe tunape.nda.na.aaaah

hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe

hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa
hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa

mzuri kama wewe mi kwangu mimi hajatokeaga
na mzuri wa nafsi kama mi’ hujamwonaga
tukipata pesa manofu tunakulaga
na tukikosa chai mkate tunalalaga
dunia hii dunia ya leo
muda mwingine wakosa muelekeo
nashukuru nimempata mwenye upeo
daima nataraji mae.nde.le.oooooh

hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaaa, zaidi yangu mi na wewe
hakunagaa, zaidi yangu mi na wewe

hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa
hakunaaaa, hakunagaa
hakunaaaa, hakunagaaa