Swahili Song Lyrics of East Africa

Kioo

by Jaguar

Kioo by Jaguar, Kenyan singer and rapper

One two, maishani kama safari ni safari
Hakuna ajuaye kesho itakuwaje
 
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo 
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo 
 
maisha kama safari na yangu ishang'oa nanga
tuna siku mbili muhimu, ya kuzaliwa na ya kuzama
yangu ya kuzaliwa nishaijua bado ya kuzama toka duniani
wanaongea sana na hawajui kule nimetoka
 
wakisema na didimia ona bado napepea 
wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
wakidhani na didimia ona bado napepea
wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
 
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
 
Nimetembea pote duniani nimepatana na wengi duniani
Kuna wale wananieleza ukweli wengine wananidanganya
wengine hawalali wakitaka kushindana nami
hawajui kule nimetoka hawajui yale nimeona
 
wakisema na didimia ona bado napepea 
wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
wakidhani na didimia ona bado napepea
wakiniombea mabaya duniani nazidi rusha zaidi yao
 
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
Najiangalia kwa kioo, kioo, kioo
Najiangalia kwa kioo, nijue tofauti ya jana na leo
 
Corrections to these lyrics? Please let us know.