Swahili Song Lyrics of East Africa

Leo (Remix)

by AY

featuring Avril

Heey, Heey,
Heey!
B-Hitz! Remix!
Kutoka kwa A.Y!

CHORUS
Nami nasema, LEO, LEO, LEO
Nasitamwacha aa aa aa, LEO, LEO, LEO x 2

VERSE 1
You know, sijamuona kama ye before (before, before)
Mapigo (ya moyo), yananienda mbio
(nikimtia machoni, nikimtia machoni)
Nataka nimtokee, ili niwe naye
Nje, ndani, full shangwe
Nataka nimtokee, ili niwe naye milele

CHORUS
Nami nasema, LEO, LEO, LEO
Nasitamwacha aa aa aa, LEO, LEO, LEO x 2

VERSE 2
Excuse me baby boy (baby boy),
Yasikie yanayotoka moyoni mwangu,
Inabidi ungoje boy,
Nishaumizwa nishaumizwa sana,
Sina imani sina imani tena,
Nishalizwa nishalizwa sana,
No, no, ah ah ah ah ah ahhh,
I like the way you are ila sidhani utanifa,
Kunipa raha, ku ku kunipa raha rahaha,
My heart is settled for once let me beeeeeeee,

CHORUS
Nami nasema, LEO, LEO, LEO
Nasitamwacha aa aa aa, LEO, LEO, LEO x2

BRIDGE
Kwangu penzi ni full (full, full, full uuuuh, uuuuh) x2

VERSE 3
I like the way you talk you smile
Tupendane kama butterflies
She’s like a star (oh my) amenijazz (oh my),
Navishiniwe tuko pembeni tukiride,
Maridadi (yule), ntapata vipi (yule), vile?
Nataka niwe naye, nataka niwe naye eeeiee,

CHORUS
Nami nasema, LEO, LEO, LEO
Nasitamwacha aa aa aa, LEO, LEO, LEO x 2

OUTRO
Heeey x 2, Leo x 2
Leo x 4
Yeah eh eh ehi eh eh yeah eh ehi
Leo