Swahili Song Lyrics of East Africa

Mali Yangu

by Alikiba

Chorus
Kama ni makosa kupendelea moyo wangu huchagua
Hayo yote nisiumize moyo wako
Pia ujumlishe na yale yale yale
Mapenzi matamu ya kama halua ya … bali yangu yaliwa

Verse 1
Mapenzi matamu ya wawili mashallah
Walio pendana kwenye hii dunia kama adam na hawa
Kwa hii hali mi sijali nivumilie ntazoea
Kukonyeze titi na kujiamini kunisaliti si hatari
Kiota changu cha moyo ni zawadi
Zinukie hisia zangu kwako kama ua ridi
Nishaumizwa sana kukinyesha mvua baridi
Kwa jinsi ulivyo utesa staki urudi .
Tell molina ali naumia, ali naumia, mapenzi
Tell molina ali nateseka, ….

Chorus

Verse 2
Pendera, hupendi karaha
Nami sinyora, nikose raha
Unantia hasara, kula kulala
Na garagara, unaniumiza roho
You my friend na uliniumiza roho
Kila weekend uko busy na hayo
Unayoyapenda ya kuuza sura
Nilisha nunua eti unapenda
Kutenda kwa yale yote unayo jiskia
Baby kwanini mateso, mateso, mateso, mateso ya roho
Wengi wanasema usiniumize roho
Chorus

Verse 3