Swahili Song Lyrics of East Africa

Mbeleko

by Rayvanny

Mbeleko by Rayvanny, lyrics

Wasafi
Mmm

alisemanga dunia ina mapambo yake eeh
ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh
nimezunguka aah, nimefika kwake eeh
siwezificha nimeshanasa
kwa pendo lake eeh

halabaani
kakuumba kimwana, mwenye sifa ya upole
ata mama kakusifu sana, kitofauti na wale (wajane)
kule nilizama tafadhali niokoe mamamaa. unipulize nipoe

We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe)
Na jicho lako lakungu kama la nikonyeza (jiachie tu nikubebe) eeh mmm

Umenivuta kwa ulembo mpaka matendo umenikamata
kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata
kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata

koleza motoo tupike tembele kisamvu cha nazi njegele
sisi kutishe kelele sikwachi iih
Linda nashamba wasije ngedele, kuku niitee kwa muchelee
Mii sipigani na wewe manatii iih
Ndio manaa kwako nimezamaa sitaki mii wanitowee mama maaa
Unipulize nipoee

We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only, sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe eee)
Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza (jiachie tu nikubebe eee)

Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe eee)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza
(jiachie tu nikubebe…jiachie tu nikubebe…jiachie tu nikubebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza
Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza
Ayo Laizer