Moyo Wangu
by Diamond Platnumz
Moyo wangu
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee,
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee,
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Upole wangu simanzi eeehee, kwa kukupenda maradhi eeehee,
lakini kupendwaga mi naye bahati huaga sina
jichoni kwangu kibanzi eeehee, tena nampenda kamanzi,
licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata raha sina
ufinyu wa mboni zangu unatazama mengi aliyonipa mateso,
tena hata kupenda sina raha, ona nakonda kwa mawazo
masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka kesho
kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee,
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeyeee,
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
mmmmhh tena, kutwa kucha mara ooohhh,
huwezi kosa maneno, ili mradi tu tara tantalila, mmmh sina raha
wala sina tena mipango, kutwa nzima na mawazo Gina,
mmhhh aaaaaahh ooohh sina raha oo mama
tamu ya wali ni nazi eeeeee , raha ya supu maandazi eeeeeeee,
raha yangu mi kupendwa tu naye lakini nyota sinaaa,
na napata na radhi eeeeee, nawakufuru wazazi eeeeeee,
kwa kung’ang’ana mi kutaka kuwa naye lakini bahati sinaaa,
masikini roho ingalikuwa ni nguo ningempa avae japo akipita wamsifie,
ila lakini ni kikwazo
masikini penzi langu Gina nilishakata na kauli roho inatoka
kesho kutwa nzima mara eeeee mara iiiii hata najuta kupendaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee,
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee,
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee,
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa
Moyo wangu, moyo wangu mama eeeeee,
moyo wangu mimi umeniponza mamaaaa