Swahili Song Lyrics of East Africa

My Baby

by Quick Rocka

featuring Ngwair and Shaa

My Baby by Quick Rocka, Ngwair, and Shaa

Yeah man its ya boy Switcher lemme talk to this girl one time, listen.
 
Verse 1
 
First time tumekutana ilikuwa kitaa,
 
Nikiakuita kukupa hi ukapoteza tambaa,
 
Sema kweli ili touch sikukata tama,
 
Nikapiga moyo konde utakuwa wangu mamaa,
 
Second time tulivyo meet ilikuwa kwa club,
 
You were dancing with yo friends n looking so fab’,
 
Ukanicheki nikakukonyeza then u gave me a smile,
 
Excuse me can I buy u drink,ukasema alright,
 
Baada hapo we started talking n dancing,
 
Getting to know u n u know me joking n laughing yeaah!,
 
So that’s how it went may baby girl n now girl yo mine.
 
 
CHORUS
 
Baby yo mine x3 Ahuuuuuuaaaa!
 
Baby yo mine x3 Ahuuuuuuaaaa!
 
 
VERSE 2
 
(Yeah I’m so lucky to have girl,when I’m with u I feel so alive….Love u.)
 
Daima uli-stay true hukubabaika,
 
Waliokuja na magari kukutishia pesa,
 
Hukutetereka my baby ukanikumbata,
 
Kamoyo kalidunda japo nilijitunisha,
 
And now we are finally here n we’re about to get married,
 
Do u remember that day when I told u,
 
That nitakuoa uwe mke wangu wa ndoa,
 
Ni mimi nawe wewe na mimi milele yote,
 
Now u walking down the aisle with a sweet sweet smile,
 
Ushapendeza baby girl u look so fine,
 
I do u do tushavishana pete (Leleleee) vigelegele kote,
 
 
REPEAT CHORUS
 
 
VERSE 3 (Ngwair)
 
(Yeah I’m so glad yo mine baby,it’s been a long gtime coming…Cowizzy)
 
Mara ya kwanza tu nakuona wow! Nikakuelewa,
 
Nikaamua kupropose fasta sikuchelewa,
 
Cause nili-fall in love na sio kukutamani,
 
Najivunia leo nimekuweka ndani,
 
Japo wanaleta beef hawa masharo wa mtaani,
 
Vitisho vingi vya mapedejshee flani,
 
Sijali namshukuru Mungu aliye juu,
 
Kwangu wewe ni zaidi ya dreams come true,
 
Kila tunapotembea pamoja kama pair,
 
Majina yetu ya mwisho wote leo yanaishia na Ngwair,
 
Tunashine upo fine napenda unavyo-design my valentine,
 
N I’m so glad yo mine…..
 
 
REPEAT CHORUS
 
 
OUTRO
 
Yeah I go by the name of Rocka Quick, hahahaha
 
I got ma big brother cowbama
 
Yeah tunamwimbia motto mzuri, Mashallah!
 
I love u baby, Mwaaaaah!
 
 
SHAA
 
Baby yo mine x6