Swahili Song Lyrics of East Africa

Ni Wewe

by Ommy Dimpoz

Ni Wewe by Ommy Dimpoz

Nimeacha pengo, bila ni wako upendo
Umenipa nuru umenitoa gizani
Sina maelezo nimeishiwa uwezo
Na mwomba aliye juu anitoe kitandani

Nikawazaje? Ingekuwaje?
Maisha yangu na familia ningeondoka
Nikawazaje? Ingekuwaje? 
Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika

Oh yeah, baba ni we
Oh baba yangu, baba ni we
Oh mungu wangu, baba ni we 
Oh mola baba eh, baba ni we

Oh naona miujiza
Siamini moyo ndo najiuliza ni mimi?
Walelo waliza
Kwa dua zao wakasimama na mimi

Nikawazaje? Ingekuwaje?
Maisha yangu na familia ningeondoka
Nikawazaje? Ingekuwaje? 
Shabiki zangu na ndoto zangu zingezimika

Oh yeah, baba ni we
Oh baba yangu, baba ni we
Oh mungu wangu, baba ni we 
Oh mola baba eh, baba ni we

Hakuna kama wewe mola baba
Hakuna kama wewe mola baba
Alpha na omega yeah
Alpha na omega yeah

Baba ni we, baba yeah
Baba ni we, mola baba baba yeah
Baba ni we, baba wewe yeah
Baba ni we, mola baba baba yeah

Mola wewe 
Baba yeah
Baba baba baba
Mola we yeah