Swahili Song Lyrics of East Africa

Nikikupata

by Ben Pol

Maisha yangu mi, Nmeshafanya vingi na..kukutana na wengi
Kama warembo nao, nimeshakuwa na wengi ila…sio siri umewazidi

Uzuri sio sura ma.. pozi na maumbile kama wengi wanavyodhani
Bali ni nzuri tabia, Hekima na ukarimu wako, Busara na Imani

Nikikupata, Milele nitafurahi,
Nitaimba Nakupenda, Hadi mwisho wa uhai
Nikikupata, Milele nitafurahi,
Nitaimba Nakupenda, Hadi mwisho wa uhai

Heshima ya Mapenzi, Ubora wa Mapenzi … wawili kuaminiana
Heshima ya Mapenzi, Furaha ya Mapenzi … Mimi na we tukipendana

Nami ninaapa, kukupa thamani ya penzi unalopaswa
Kamwe sitofanya, kinyume na thamani ya pendo nikakosa