Swahili Song Lyrics of East Africa

Nimekuchagua

by Roseline

Nimekuchagua by Rosaline, Bongo Tanzania Lyrics

Looking for Nimekuchagua Wewe by Bob Rudala?
 
Chorus
Nimekuchagua wewe
uwe wangu wa maisha haya
ni wewe na mimi tu
 
na sitakuacha ahh
tuzae na mapacha baby
niwewe na mimi tu
 
Verse 1
Nakupenda na kuhitaji
nataka uwe wangu
nimechoka mi kutendwa ahh
najua wanipenda
lakini waogopa
maneno wasemayo ooh
 
wanasema mi kicheche
eti mi malaya
sitaweza kukulinda ahh
kukupenda sitoacha
wacha waongee
watasema wata acha ahhh
 
Bridge
I have chosen u
be mine forever
 
Chorus
Nimekuchagua wewe
uwe wangu wa maisha haya
ni wewe na mimi tu
na sitakuacha ahh
tuzae na mapacha baby
ni wewe na mimi tu
 
Verse 2
uwe wangu nimekupa
unipende mi daima
tujenge familia ahh
kukushare sitoweza
acha waongee
watasema watalala ahh
niwe nawe milele
kwenye shida na rahaa
usiniache pekee yangu mhhh
nitakutunza mi daima
nitakupa unachotaka
kukupenda sitoacha ahh  
 
Bridge
I have chosen u
be mine forever
 
Chorus
Nimekuchagua wewe
uwe wangu wa maisha haya
ni wewe na mimi tu
na sitakuacha ahh
tuzae na mapacha baby
ni wewe na mimi tu
 
Nimekuchagua wewe
uwe wangu wa maisha haya
ni wewe na mimi tu
na sitakuacha ahh
tuzae na mapacha baby
ni wewe na mimi tu