Shilingi Yangu
by Visita
featuring DNA and Kenrazy
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Ati meeeeeee
Mbona kilio cha mbuzi?
Super rapper singer Sita daktari na ujuzi
Story za Sita si za Macmuga
Lazima ziwe clean so nasafisha lugha
Cable kwa socket, ganji kwa pocket
Natake off ka rocket, kaa ngoma kwa market
Haziko past tense kama pombe za sachet
Nalipa bill mh mh, silipi Clinton
Beats zangu sick aa aa checki symptoms
Check money money
Check check money money
Industry mimi nipo mi si prodigal mh
Msupa ashapenda fimbo juu ni conjugal aa
Ohh my god hii ni ombi langu la sali
Vile ngoma ingali ni kali
Kushinda zile zangu za awali
Vile nafanya vitu mi nafanya
Mi nazifanya to the bets
Hihihahahahaha
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia ohh my god
Kutoka siku za Makoma
Shilingi yangu Mobutu na Moi
Nilikuwa nanyi mpaka leo
Kama rungu na Moi
Wanatuangalia
Si tuki tour kwa njia
Tunawatwangalia
Tuna tufimbo here (chapa)
Kenya, Bongo mpaka Kampala Uganda
Afrika nzima serikali eiih si twaja
mziki bizz so yoyote naweza hata
Lingala lingala eh eh eh
Strong lyrically Razy niko rich filthy
Mi hupenda story but kwa bed no hadithi hadithi
juu mi hukawia kucam results Tharaka nithi
demu alininyima kitu, hiyo kitu is still guilty
traffic ya mangoma zangu inafanya una-jam
hater ana yap trash hataki kuclap clap
na nikitoka yee na manzi yake wanaamka chap chap
wana shaki bam bam shaki bam bam boom
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia ohh my god
Juu ya beer, nimekufa mara mia
but Mungu yuko so I'm back in this bia
si pombe back in this bia
mtoi hajazaliwa up in this bia
yeah rude boy amerudi
si mafans wanashangilia
mi Sita na Razy, hii vita huwezi
mh, serikali imeshughulikia
hawa wazee wanaziba njia
mauradi za madoe wanatubania
si on the other hand tunafungulia
the next generation tutakula pia
so ukiniangalia, piga saluti na utoe kofia
hujawahi meet mtu kaa me
angalia Bwana D
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia ohh my god
Body:
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Ati meeeeeee
Mbona kilio cha mbuzi?
Super rapper singer Sita daktari na ujuzi
Story za Sita si za Macmuga
Lazima ziwe clean so nasafisha lugha
Cable kwa socket, ganji kwa pocket
Natake off ka rocket, kaa ngoma kwa market
Haziko past tense kama pombe za sachet
Nalipa bill mh mh, silipi Clinton
Beats zangu sick aa aa checki symptoms
Check money money
Check check money money
Industry mimi nipo mi si prodigal mh
Msupa ashapenda fimbo juu ni conjugal aa
Ohh my god hii ni ombi langu la sali
Vile ngoma ingali ni kali
Kushinda zile zangu za awali
Vile nafanya vitu mi nafanya
Mi nazifanya to the bets
Hihihahahahaha
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia ohh my god
Kutoka siku za Makoma
Shilingi yangu Mobutu na Moi
Nilikuwa nanyi mpaka leo
Kama rungu na Moi
Wanatuangalia
Si tuki tour kwa njia
Tunawatwangalia
Tuna tufimbo here (chapa)
Kenya, Bongo mpaka Kampala Uganda
Afrika nzima serikali eiih si twaja
mziki bizz so yoyote naweza hata
Lingala lingala eh eh eh
Strong lyrically Razy niko rich filthy
Mi hupenda story but kwa bed no hadithi hadithi
juu mi hukawia kucam results Tharaka nithi
demu alininyima kitu, hiyo kitu is still guilty
traffic ya mangoma zangu inafanya una-jam
hater ana yap trash hataki kuclap clap
na nikitoka yee na manzi yake wanaamka chap chap
wana shaki bam bam shaki bam bam boom
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia ohh my god
Juu ya beer, nimekufa mara mia
but Mungu yuko so I'm back in this bia
si pombe back in this bia
mtoi hajazaliwa up in this bia
yeah rude boy amerudi
si mafans wanashangilia
mi Sita na Razy, hii vita huwezi
mh, serikali imeshughulikia
hawa wazee wanaziba njia
mauradi za madoe wanatubania
si on the other hand tunafungulia
the next generation tutakula pia
so ukiniangalia, piga saluti na utoe kofia
hujawahi meet mtu kaa me
angalia Bwana D
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Hawa wazee wanatuangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia
Up up, get your money up up
Shilingi yangu ndio naangalia ohh my god