Swahili Song Lyrics of East Africa

Sina Muda

by JCB

featuring Fid Q and Kala Pina

Sina Muda by JCB featuring Fid Q and Kala Pina

Chorus
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga
 
Verse 1 (JCB)
Udhaifu wa kilevi bwana mdogo huviwezi
Usione Mafogo wengi walikuwa wezi
si kidogo usifate wengi Utelezi
Wanacheza michezo mingi huiwezi
 
Michezo mingi ya shilingi huiwezi
Ndo maana kwenzi Nakuchapa una benzi
Una mapenzi Kitaa bonge la ndezi
yaani mwepesi Kusimama huwezi kesi
 
Huwezi kudance kudunda kitenesi
Huendi resi ukiona pilau unasex
Umebaki fala unacopy na kupaste
Yaani mweupe huna vyeo vya jeshi
 
Bonge la kiwingu mpaka mvua hainyeshi
Pua haikeshi kunusa chako kinyesi
Kugusa kiwango mbona chepesi
Ngoja nifunge verse isije kuwa kesi!
 
Chorus
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda
Na sina muda wa kuspend ata kwa cash za kuzuga
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga
CASH ZA KUZUGA. CASH CASH ZA KUZUGA. CASH ZA KUZUGA. CASH        
 
Verse 2: (Kalapina)
Mbuzi karamba reli shetani kakata kamba
Wananiita Pina Mc namba moja namba
so ishirini na sita, ishirini na sita ni Hamidu
Napomwagaga beti Mc hupinduka bidu
 
Vina vyangu mateso muulize hata Lidu
Kaa kijanja usikae kikox
Kaza sauti ifanane hata na Mox
Bado nita kukanyaga kama navaa socks
 
Yaani kama upepo niite mchizi wa docks
Dar es salaam nyumbani siwezi kuhama
Karama za hizi zama mwishoe uishie mahakama
Niite baba wa Idea nyuma sijali lawama
 
Chorus
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga
Nashinda kila sekunde kama nimeinvest kwenye muda
na sina muda wa kuspend hata kwa cash za kuzuga
CASH ZA KUZUGA. CASH CASH ZA KUZUGA. CASH ZA KUZUGA. CASH
 
Verse 3: (Fid Q)
Hi Dayna, sikufichi ulikua unahusika
au mtoto wa uswazi 'akijichubua' haimaanishi anaukimbia uafrika?
nisikize Dayna..please.. najua uko busy kiaina na hizi
ni aina tu za uchizi au kama vipi bye DAYNA
 
HUUH.. now back to you fools
nani atabaki juu? nitabaki tu. huu ni wakati wa Q
muda wa 1,2,3,2,1 kama ZOLA
nikiwa na 1,2,3,4 quarters nipe dola
ulipo sipo na hauna mshiko? kujikomba usijali
hakika kuvunjika kwa mwiko sio mwisho wa kusonga ugali
ongea na watu upate viatu, machacha yasisumbue
mwambie HITLER avunje NAZI.. BLACK CHATA afaidi tui
na shinda kila sekunde ' kama nimeinvest kwenye muda
na sina muda wakupoteza hata kwa cash za kuzuga