Swahili Song Lyrics of East Africa

Sio kweli

by Jaffarai

featuring Lady Jaydee

Kuanzia leo hivi sasa naahidi
Kuishi … kama memba

Muziki tunaodai…

Kwa wale wote wanaoongea sana
Haimaanishi kuwa wanajua sana
Zaidi ya wakimya, no hiyo hapana
Ukweli ni tumetoa …iana

Siyo kweli vijana ndiyo wanao makataa
Siyo kweli vijana hawana moyo wa
Kutaka kuoana
Ukweli ni kwamba sasa hakuna kuaminiana
Sio kweli wote wanaojifanya mapapaa
Sio kweli kwamba wote wana chapaa
Kuwa na mademu wengi kweli ni ushamba
Humeki chapaa hivi eti sasa ni ujanja

Sio kweli
Wanaoenda ibada wote ni watakatifu
Sio kweli
Wanaokesha kwenye raha eti wote ni waongo
Siyo kweli
Kila unachokiona kiko kama unavyoona
Siyo kweli
Siyo kweli

Asalam aleikum Tanzania
Its Jide once again
Hear me once again loud and clear
Almighty ndiyo alonipa kipaji
Juhudi binafsi ndiyo pekee nahitaji

Peke yangu ningeweza – Siyo kweli (no)
Namshukuru Mola bila yeye ningefeli
Wengi wamenisaidia kuwa leo, kuamini
Thanks to my fans, kiss to …

Siyo kweli
Kwa kila unachosema ndicho unatenda ilimradi bado unahema
Siyo kweli
Coz I might stay strong
Just stay right wherever you think its wrong

Sio kweli
Wanaoenda ibada wote ni watakatifu
Sio kweli
Wanaokesha kwenye raha eti wote ni waongo
Siyo kweli
Kila unachokiona kiko kama unavyoona
Siyo kweli
Siyo kweli

Sio kweli ya kwamba ili upewe heshima
Uwe mtu mzima ndiyo watu wakupe heshima
Ni mambo ya kondoo ndiyo yatayofanya upewe heshima
Je heshimu basi linalopee heshima
Siyo kweli kuwa kufanikiwa ni bahati
Ila.
Ukweli tu ni kuwa watu wanakwenda wazi
Kutafuta kazi na kuweka mambo freshi

Ukweli ni kuwa ninakubali
Siyo sisi pekee ndiyo wasanii wakali
Wako wengi ila hawana zali
Hawasikiki tu hewani ingawa ni wakali
Wengine wana muonekano wa usafi
Siyo kweli mambo yao pia safi
Wengine nao wanajiweka high class
Ukweli wana unga unga tu basi

Sio kweli
Wanaoenda ibada wote ni watakatifu
Sio kweli
Wanaokesha kwenye raha eti wote ni wahuni
Siyo kweli
Kila unachokiona kiko kama unavyoona
Siyo kweli
Siyo kweli