Swahili Song Lyrics of East Africa

Starehe Gharama

by Tundaman

uhhhhh
uhhhhhhhhhhh

usisikie la kuambiwa jua starehe gharama
kamwa usiwafate wala bata ukiwa na hela ya ndama
usinifate kwenye starehe usije ukanipa lawama
ntakufwata huko kwenye ku’boost ikiwa gari lako limekwama
usinihonge bia kama hujaja na mimi
ushajijua huna huku umefwata nini
mi usinipe lawama pindi nikikupiga chini
hebu nikumbushe mara ya mwisho nlikuja

oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya kaa ukijua kwambaaa
oya kaa ukijua kwambaaa
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya kaa ukijua kwambaaa
oya kaa ukijua kwambaaa

usipende mademu wa bure ujue wana madhara
usipende na pombe za bure ujue zina madhara
ushajua hela hauna basi usitoke we lala
usikae mpaka disco liishe ili upande daladala
mtoto wa kike kavamia bia kilichomvuta
mtoto wa kiume kaponzwa na bia kashika ukuta
kaja na hela msiba club we kilichomkuta
onesha wowowo TINGISHA KAMA IMEKWISHAAA!!!

oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya kaa ukijua kwambaaa
oya kaa ukijua kwambaaa
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya kaa ukijua kwambaaa
oya kaa ukijua kwambaaa

Onaaaaa, alivyoumbuka!
onanaaa, kimemshuka!
mmwemmwacha kalewa kazima kashtuka kumekucha!
Onaaaaa, alivyoumbuka!
onanaaa, kimemshuka!
mmwemmwacha kalewa kazima kashtuka kumekucha!

oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya kaa ukijua kwambaaa
oya kaa ukijua kwambaaa
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya oya kaa ukijua starehe gharama
oya kaa ukijua kwambaaa
oya kaa ukijua kwambaaa

skuhizi ukitaka kutoka lazima ujipange
si unajua club ukitoka utaogopa ni pombe
skuhizi ukitaka kutoka lazima ujipange
si unajua club ukitoka utaogopa ni pombe