Swahili Song Lyrics of East Africa

Tamu

by Mbosso

Tamu by Mbosso

Verse 1

Ooh Kasuku mwenye sauti nyororo
Mususu ya soro ndombolo
Na bando letu la buku
Twapeluzi mpaka tomorrow
Mambo iko huku
Penzi twalila kwa solo
Hmmm Anipelekesha msobe msobe
Kama fuso lapanda mlima
Na nilivyo fundi kuchelewesha
Kobe kobe
Simpi dusko nzima nzima

Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho
Yata wa toka mapunye mumwe kwashakoo
Tena wavimbe na wanune ishakua yako
Itafune imung’unye ifike kunako, oh baby

Chorus

Kushika kiuno (tamu)
Niku chumu chumu (tamu)
Niki kukumbatia (tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby (tamu)
Yani mpaka kisogoni (tamu)
Torororo (tamu)
Tamu kolea

Verse 2

Baby tufanye wazi wazi watuone
Picha weka DP na makopa kopa caption
Baby walokosa kazi wanong’one
Wapandishe BP
Wapumue kwa oxygen
Waambie vimberu mberu
Sio penzi la mashaka
Tusha soma dua kusitirika
Kwa wenye macho ya paka
Wambie
Mimi beberu sio jogo la pasaka
Wanajizugua kukunja ndita watazeeka haraka
Steel wire ananisugua (Kwa makovu kovu)
Hanaga mbaya laazizi (Show mbovu mbovu)
Tena fundi mwaya kazi anaijua (My love love)
Haijawahi kupwaya yani kiivi

Mukoroge sumu mnywe kwenye vijiba vya roho
Yata wa toka mapunye mumwe kwashako
Tena wavimbe na wanune ishakua yako
Itafune imung’unye ifike kunakoo, oh baby

Chorus

Kushika kiuno (tamu)
Niku chumu chumu (tamu)
Niki kukumbatiaa (tamu)
Tamu kolea
Penzi letu baby (tamu)
Yani mpaka kisogoni (tamu)
Torororoo (tamu)
Tamu kolea

Ebo baby mtoto kakua (Kasima dede)
Nimtazame (Kasimama dede)
Mwana anatembea (Kasimama dede)
Yani tee tee
Anataka aking’ate (Kasimama dede)
Kaona kitumbua (Kasimama dede)
Amekua baba