Swahili Song Lyrics of East Africa

Tupogo

by Ommy Dimpoz

featuring J Martins

Tupogo by Ommy Dimpoz and J Martins

tupogo
bado tupo (pozi kwa pozi)
tupogo
bado tupo
 
Chorus: Ommy
tunachopata ni chetu me na yeye tu
kiwe kidogo
kikubwa ni majaliwa
hata kama kidogo
kikubwa ni majaliwa
ila mimi na ye tupogo aanh 
bado tupo
nasema mimi na yeye tupogo  aanha
bado tupo
na bado niko nae tupogo aanha
bado tupogo
 
Verse 1: Ommy
mbona   bado niko nae aanha 
mpaka sasa nadunda nae aanha
yule yule wa nai nai na baadaye aanha
walisema sitadumu nae aanha
ona vichwa chini wamenuna aanha
ya kwetu mbele yao wao yamedumaa  aanha
 
Chorus: Ommy
tunachopata ni chetu me na yeye tu
kiwe kidogo
kikubwa ni majaliwa
hata kama kidogo
kikubwa ni majaliwa
ila mimi na ye tupogo aanh 
bado tupo
nasema mimi na yeye tupogo  aanha
bado tupo
na bado niko nae tupogo aanha
bado tupogo
 
Verse 2: J Martin
mamae beshinae beshinao tupogo
papaa beshinae beshinao bado tupo
aah dimpoz j martin
see how we're sweet like tomato
aah dimpoz j martin
see how we're sweet like tomato
anyhwhere we there
 so we do raga raga raga eeh eeh
anywhere we enter 
 so we do raga raga raga eeh eeh
 
Chorus: Ommy
tunachopata ni chetu me na yeye tu
kiwe kidogo
kikubwa ni majaliwa
hata kama kidogo
kikubwa ni majaliwa
ila mimi na ye tupogo aanh 
bado tupo
nasema mimi na yeye tupogo  aanha
bado tupo
na bado niko nae tupogo aanha
bado tupogo
 
eeh eeeh eeh eeh tupogooo
dimpoz kwa poz zkp zacha
chere chere chere chere na poz kwa poz
chere chere chere chere j martin
chere chere chere chere kwa wote
mobenga