Unaibiwa
by Rayvanny
Usidate na njonjo za mapenzi
Vicheko bandia usoni kudeka kumbe ana pretend
Maufundi toka tanga na zenji
Vionjo mitego unase ashike pochi umwage chenji
Anakuchanganya kiunoni shanga
Marashi kama uko peponi
Mtoto sauti kinanda
Ya kumtoa chatu pangoni
Ukishatafuna karanga
Hutaki hata aende sokoni
Anakuchuna mafaranga unabaki na vumbi mfukoni
Ukiwa na pesa utasifiwa kitambi
Baby me I like that
Na kukupamba kwenye simu video snapchat
Kumbe hana maana hadi Mangi
Anamwita sweetheart
Kisa anakesha gym kutafuta six pack
Unaibiwa unaibiwa unaibiwa unaibiwa
Kuna kina Rose Visosa
Wale wapenda verossa
Ukipita na shati na moka
Lazima watashoboka
Wakiomba lift ogopa
Miguu dashboard vishoka
Mchunguze cheni goroka
Nywele na pochi kakopa
Usije kuyavamia yasije yakakutesa
Hawachelewagi kukimbia
Kuna wenzako wanalia walizani mapenzi pesa
Kwenye suruali vibamia
Hata ukimuonga Ferrari hatokuona rijali
Wakati chumbani we begi ukifunga moja tu chali
Atakamatwa ma mangangali
Vijana machachali
Hawachagui sehemu ya vita uvunguni na juu ya dali
Ukiwa ma pesa utasifiwa kitambi
Baby me I like that
Na kukupamba kwenye simu video snapchat
Kumbe hana maana hadi Mangi
Anamwita sweartheart
Kisa anakesha gym kutafuta six pack
Unaibiwa unaibiwa unaibiwa unaibiwa
Unadhani ni wa peke yako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea macho
Wapo wengine kawapendea rangi
Ye ni gari la dampo
Hachagui taka dereva mpe ganji
Wakubadili sample
Akila mihogo karoti hazipandi
Unaibiwa unaibiwa unaibiwa unaibiwa