Swahili Song Lyrics of East Africa

Usiende mbali

by Juliana

featuring Bushoke

Verse 1
Beka unavyo beka kama mtoto
Natakubembeleza mimi wako
Nita zidi kukupa vitu moto moto
Mapenzi kupendana sii mchezo
Nakusihi usihi usijilezu mimi solema
Nahisi na mimi sisijapata ku solema
Tunavyo ishi wanandhani tunadanganyana
Sii rahisi amini mimi na wewe tukatengana

Chorus 2x
Usiende mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usotoke mbali nami
Mimi bado nakupenda

Verse 2
Tangu niko na wewe ni furaha
Kukosa tosa nikaraha
Na wewe siwezi ishi
Nakuhisi sio mbishi
Wanapiga misels kila mara
Wanatimua mavumbi sisi twala
Wanaotaka mapinduzi na mapinduzi hawayawezi ooh
Naumia -aaya mapenzi yanaokosanaa
Hata wivu kwani naosina roho ya chuma
Nakusihi usiniache solemaa-aa
Nahisi na mimi nisije kuwacha solema

Chorus 2x
Usiende mbali nami
Mimi bado nakupenda
Usotoke mbali nami
Mimi bado nakupenda

Usiendeeee……mimi bado nakupenda (2x)
Usiondoke…..mimi bado nakupenda (2x)
Nakupenda wanipenda usija penda mbali nami

Usiende……mimi bado nakupenda
Usiondoke….mimi bado nakupenda (3x)
Nakupenda wanipenda usija penda mbali nami