Swahili Song Lyrics of East Africa

Wale Wale

by Jose Chameleone

Jose Chameleone, Swahili singer from Uganda

Hihi Hihi
 
Leone ilo
 
Kuna wale wale walisha barikiwa na mungu wale
Wale wale
Wale wale walisha pendwa zaidi yule yule 
Wale wale
Ayalelelelelelelelelele Walewalelelele Yelelele!
Ayalelelelelelelelelele Walewalelelele Yelelele!
Wale wale
 
Show me the way
Show me every possibility
Other got plenty
Others no opportunity
Show me the way
How to live out of calamity
Show me the way
How to live better to live greater (sawa)
Nipate maisha mazuri (sawa)
Watoto wasome vizuri (sawa)
Wapate chakula nzuri (sawa sawa)
Nipate maisha mazuri (sawa)
Watoto wasome vizuri (sawa)
Wapate chakula nzuri (sawa)
 
Kama (Sawa)
Kaguta Kikwete Kenyatta Kabila Kagame 
Wale wale
 
Ee aa ee aa ee
Wale wale
Aa
 
Kuna wale wale walisha barikiwa na mungu wale
Wale wale
Wale wale walisha pendwa zaidi yule yule 
Wale wale
Ayalelelelelelelelelele Walewalelelele Yelelele!
Ayalelelelelelelelelele Walewalelelele Yelelele!
Aaaaah
 
Wale wanala nini
Wale walikupa nini
Wote tunasoma dini
Tajiri na maskini
 
Tell me the way
How you maintain your ability
You're lucky to have plenty
Others in insanity
Tell me the way
How to uplift my community
Tell me the way
How to live better 
How to live greater (sawa)
 
Nipate maisha mazuri (sawa)
Watoto wasome vizuri (sawa)
Wapate chakula nzuri (sawa sawa)
Nipate maisha mazuri (sawa)
Watoto wasome vizuri (sawa)
Wapate chakula nzuri (sawa)
 
Seseko Sambutu Savimbi Salva Kir Sudhir (Wale)
 
Aa Aa Aa
naanza ogopa
Hihi
 
Speedy Dee Bomb
Obulamu bwafuuka bwa zigiddo
Wale Wale
Lima ebyo byolima
Munange toteekamu kamiro
Wale Wale
Toteekangamu tama
Tovanga na munimiro
Wale Wale
Toteekangamu fitina
Munange byonna byonna ebyo zero
Wale Wale
 
Show me the way
Show me every possibility
Other got plenty
Others no opportunity
Show me the way
How to live out of calamity
Show me the way
How to live better to live greater (sawa)
 
Africa yetu (sawa)
Tusaidie wetu (sawa)
Watu ndiyo watu (sawa)
Na sisi ni watu (sawa)
Lwaki siba neeno beetu (sawa)
Okufuwa omuleletu (sawa)
Gwange! Omuleletu (sawa)
Ngufuyira bantu bange (sawa)
Guno no nomuleletu (sawa)
Njogera nina beetu (sawa)
Day one day day two (sawa)
 
Eh eh eh eh (sawa) eh eh eh eh eh (sawa)
Hihii (sawa) hihii (sawa)
Producer Kays