Wivu
by Jux
Verse 1
Eiyeh
Niamini leo hii sitamani mwingine tena
Kazi zangu mishe mishe
Nitarudi nyumbani mapema
Unachonipa babe
Sitokaa nikuumize
Na zile raha unazonipa wewe
Bridge
Napenda unavyokata na kunipa taratibu
Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
We tabibu unanipa raha
Unavyokata
Na kunipa taratibu
Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
We tabibu ilaa-ilaa
Chorus
Usije fanya visa mimi nina wivu
Na moyo utaniumiza mimi nina wivu
Na hofu watakuteka mimi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu
Usije fanya visa mimi nina wivu
Na moyo utaumiza mimi nina wivu
Na hofu watakuteka mimi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu
Verse 2
Naandika ngoma ya Mapenzi nakuona wewe
Na vinanda vya Bob vya bembeleza
Nishagoma kwingine kwako nipewe
Umeniteka mazima nimelegeza
And everything I do for you
Is from my heart as you know
Na kila siku mimi napambana wewe ubaki na me
Bridge
Napenda unavyokata na kunipa taratibu
Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
We tabibu unanipa raha
Unavyokata
Na kunipa taratibu
Mimi ni mgonjwa wewe ni doctor unanitibu
Nikikushika unanitazama unaona aibu
We tabibu ilaa
Chorus
Usije fanya visa mimi nina wivu
Na moyo utaniumiza mimi nina wivu
Na hofu watakuteka mimi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu
Usije fanya visa mimi nina wivu
Na moyo utaumiza mimi nina wivu
Na hofu watakuteka mimi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu
Hook
Aha ah ah ah
Aha ah ah ah
Aha ah ah ah
Aha ah ah ah
Na mimi nina wivu
Aha ah ah ah
Aha ah ah ah
watakuteka mi na wivu
Aha ah ah ah
sitaki nile mbichi
ilaaa
Chorus
Usije fanya visa mimi nina wivu
Na moyo utaniumiza mimi nina wivu
Na hofu watakuteka mimi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu
Usije fanya visa mimi nina wivu
Na moyo utaumiza mimi nina wivu
Na hofu watakuteka mimi nina wivu
Sitaki nile mbichi wao mbivu