Swahili Song Lyrics of East Africa

Baadae Sana

by Mabeste

toka B-hits
mabeste, Bhits
ahhh ahh ahh ahhh ahh

Nilianza game walijua peni ikizidi nitaacha… baadae sana
Ah, walizani na’come na kupotea eti wameanza wao mimi …baadae sana
ni.nimewapita natamani kuwangonja kufikia mahali nilipo mmh … baadae sana
yeah, muteweza hii kichwa hizi fikra huu ukuta kuuvuka mbinde… baadae sana
ah, kuchanganya kanye jigga weezy kwenye ngoma yangu hii kitu sio …. baadae sana
ah, magazeti na TV kuhusu HIV kwamba itaisha leo….baadae sana
ah, hata malaya alizaliwa na bikira so tumia mpira uishi ufe ….. baadae sana
ah, mimi ni kijana nipo nipo nini majukumu mambo yakuvuta jiko ….. baadae sana
aiseee

ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana

yeah
Sssssss, kuacha hii kitu inavonipeleka mbali kichwa…. baadae sana
walivo sura umbika mgongo ita mimi kukataa wito kwenda…. baadae sana
kama ni happy najichana sana mi sijui kesho zitaisha leo…. baadae sana
ah,si mi najua mwanzo na kati ni vipi ni stunt hadi nifike mwisho…. baadae sana
ah, kama ni demu muongopee yeye akijua wewe yupo nobody is …. baadae sana
nitapeli na mimi nikuzulumu tukijashindwana huko mbele…. baadae sana
ah, kama kuiba tunaiba so sana, kujipanga wakijua huko…. baadae sana
Bhitz ni army, na rapper tino hili tatizo kulitatua ni…. baadae sana
aisee

ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana

U’super star vazi la kuazima so mimi nime’buy yangu mpaka iishe…. baadae sana
sana, sneaker jeans na fulana za ujana kufulia du…. baadae sana
kuacha ngumu, utaachwa mpaka ujue mapenzi upofu huna cha kughai…. baadae sana
mi kwako nini mwenzako atapata lini mpaka ujue faida yangu…. baadae sana
si ni maisha inapanda na kushuka ikishuka tu kurudi juu…. baadae sana
tumeingia kwenye giza na tumepotea siku tukijua njia…. baadae sana
heey baadae haterz, haterz oh yeah baadae Mr. daddy my Brother saa baada ya sister ibada ya jamaa mimi na nyinyi tena…. baadae sana

ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana
ah ah ahhaa baadae yo…. ah ah ahhaa baadae sana