Swahili Song Lyrics of East Africa

Baadae

by Ommy Dimpoz

Baade by Ommy Dimpoz, Tanzania Bongo Flava Artist

Nampenda kama ringtone
hana maringo, huyu binti mtamtam
swagga zake zipo simple
hapendi dingo, haniishi hamham
niko naye sina nyimbo
Nikatoa single, mpaka sasa nna album
mimi mkali wa mitindo
hata iki'mingle, kitandani mashamsham
 
kila siku mi niko naye
ila siku hizi penzi linatia fora eh
hata mama na papa eh
wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
 
kila siku mi niko naye
ila siku hizi penzi linatia fora eh
dem mama eh dem papa eh
wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
 
Chorus
tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh
njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh
usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh
nitakungoja baadae eh, si, baadae eh
 
baadae eh, niko naye heey
baadae eh, niko naye heey
 
unang'aa bila lotion
mkali wa fashion, baby kama umechorwa eh
you got a temptation
sitaki nikukose, matajiri wakanipora eh
Penzi langu sio boshen
usijipe question, mimi ndiye mume bora eh
wananipangia mission
ili unitose, nimemuachia mola eh
 
kila siku mi niko naye
ila siku hizi penzi linatia fora eh
hata mama na papa eh
wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
 
kila siku mi niko naye
ila siku hizi penzi linatia fora eh
dem mama eh dem papa eh
wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
 
Chorus
tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh
njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh
usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh
nitakungoja baadae eh, si, baadae eh
 
baadae eh, niko naye heey
baadae eh, niko naye heey
 
raha zote kwako napata, ai, napata!
umenichanganya nadata, si, nadata!
 
raha zote kwako napata, ai, napata!
umenichanganya nadata, si, nadata!
kila siku mi niko naye
ila siku hizi penzi linatia fora eh
hata mama na papa eh
wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
 
kila siku mi niko naye
ila siku hizi penzi linatia fora eh
dem mama eh dem papa eh
wanasema umenizidi TBS kwa ubora eh
 
Chorus
tukutane tena baadae eh, ai, baadae eh
njoo unipe tena baadae eh, si, baadae eh
usikose kuja baadae eh, ai, baadae eh
nitakungoja baadae eh, si, baadae eh