Swahili Song Lyrics of East Africa

Bed and Breakfast

by AY

AY from Tanzania

Bed and Breakfast
Bed and Breakfast
Bed and Breakfast
Bed and Breakfast

Mambo yamejipa yaani BANG!
Muda wa kupumzika umefika umecome again,
Ndio maana watu wanashine,
Ndio maana kila kona nayopita watu ni wengi,
Ukidelay utapotea,
Mtoto anajiachia kama ameshapata mmea,
Kwenye bo body yake mi ndo sarveyer,mzeiya
Nazidisha miguso anadai (endelea)
Sa naona club haifai,
Hata washkaji wangu nishawaambia bye
Mtoto ashalalia bega mi naride
Namuuliza anataka nini kwangu
BED AND BREAKFAST,

Ebwana mi nampa (BED AND BREAKFAST)
Hataki vingine anataka (BED AND BREAKFAST)
Aaah aaaah (BED AND BREAKFAST)
Satisfaction guaranteed (BED AND BREAKFAST)

Ebwana mi nampa (BED AND BREAKFAST)
Hataki vingine anataka (BED AND BREAKFAST)
Aaah aaaah (BED AND BREAKFAST)
Satisfaction guaranteed (BED AND BREAKFAST)

Tushafika mtoto nae yupo front,
Bila kuchelewa mi nalock door,
Kama tumeambiana simu ziko off,
Chumba ndo cha baridi twapeana joto,
Mlaini kama bamia,mtamu ka lasagna,
Slow but sure si kumvamia,
Room sound proof so hutomsikia,
Tukipeana huku nikimsmack,
(You and I) Bed moja mtu mbili tu,
(You and I) Sink moja povu mpaka juu
(You and I) YOU x7 you and I aaaaah

I dont care hata simu ikiwa ON sipokei,
I don’t care hata waseme nini kwako siongei
I don’t care,kwako sitapretend,
I don’t care,we ni duu mi ni rudebwoy
I don’t care hata kama nikikupa overdose,
I dont care,I dont care, haaa haaaa..

Ebwana mi nampa (BED AND BREAKFAST)
Hataki vingine anataka (BED AND BREAKFAST)
Aaah aaaah (BED AND BREAKFAST)
Satisfaction guaranteed (BED AND BREAKFAST)

Ebwana mi nampa (BED AND BREAKFAST)
Hataki vingine anataka (BED AND BREAKFAST)
Aaah aaaah (BED AND BREAKFAST)
Satisfaction guaranteed (BED AND BREAKFAST)

You took me to Paradise
You‚ are the one unayenijazz,
Hook me with one more dose,
Pleaseee ONE MORE DOSE X 2

Karibu himaya ya Rudebwoy AY,
Sura ya upole ila namba haifai,
Anadai‚
Nimpe zaidi huku anacry,
Nikirefuse basi she gonna die