Swahili Song Lyrics of East Africa

Mapenzi Yana-run Dunia

by Alikiba

Ali Kiba

Sikatai yule muonyesha wivu ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenza
lakini pia uvumilivu na vitendo vya karaha vilimuumiza
mwenzio mimi ni mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
ona dhambi lawama ulonipa mimi leo inaniuma eh

fikira ziko vibaya za kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
ni kweli nilimpenda, lakini ni kama rafiki wa kima
haya uliyofanya leo, ikifika kesho utajibu nini kiama
kwa yale yote mapendo ni kama kioo aliyokupa niliyaona

ukadhani anakusaliti kutoka kwako na kuwa mimi naye..
mimi na yeye
kutokana na wako wivu ukadariki kumuacha ajiue
kwanini why, unatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa
najua mwanamke akipenda, huwa…kapenda kweli

mapenzi yana-run dunia, mapenzi yana-run dunia

mapenzi yana-run duniaaaa

feel free to love
feel free to love

wajua kuna waliobadilisha dini na yote sababu ya kupenda
na kuna waliokimbia… hii dunia… sababu hiyohiyo kupenda
yule alikupenda sana, ninajua na mambo mengi umefanya ilala
Best wangu nilimpendaaaa.. umefanya mpaka sasa kajiua