Chekecha Cheketua
by Alikiba
Jamani ninataka saule
kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo
Nina mapenzi tele kama kwetu kule
Wanaonitaka ni wengi ila mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa

Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani

Haya chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha
Chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Masia Uluso kitaa Abu Daddy
Penzi alinipa mama nami leo nakupatia
tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna
Mi nitakupenda sana mpaka wivu utakimbia
nami ntalia na wewe mimi kwako nyang’a nyang’a nyang’a