Swahili Song Lyrics of East Africa

Nagharamia

by Alikiba

featuring Christian Bella

Nagharamia by Alikiba and Christian Belle

Ukimwona kapendeza si utafikiri katokea mbinguni
Ni mtoto mkali kaumbika mamaa eeh nahisi kama nishawahi kumuona
Kafanana na naniii kwani ni naniiii demu fulaniii kama namjua
Kafanana na naniii kwan ni nani ieee demu fulani yeyeee kama namjua

 

Kiba weweweee yeyeyee ieee Ali we yeyeyeyeee iee kama namjua
Kiba weweweeee unamjua huyu demu didididi didididi deee
Iyeyeyeye iee iyeyeyeye iee iyeyeyeye 
ieee ieee iyeyeyeyeee iyoooh iye oooh

 

Namuona tu kasura kazuli ni binti fulani yeeee marashi mazuli na gari kali yeeee
Ni kweli amependezaa kama ni hurulainiii mimi ni demu wangu huyooo (ninagharamia)
Kweli amependeza hurulaini ieee ni demu wangu weweee (ninagharamia)
Bella weweweweeeee ooh iee kwani vipi wewweeeee (ninagharamia)
Bella weweweweeee unamjua huyu deems dididid didididi dadadaaa

 

Oh no no nashindwa kuvumilia huyu mtoto
Kanipagawisha kila nikikutana naye moyo wangu unadundadunda
Nataka tu kujuana naye awe kama rafiki wangu
Labda moyo wangu itatulia tuliiia

 

Bella siachi raha kwa ubishi na
Mvumilivu hula mbivu ooh
Nishamaliza ngombe nzima kabaki mkia huyooo

 

Azali azalili azali mwasikitoko meifo balula 
Ile boya azali na bote naye
Azali mwasikitok0 meifo balula yeyeee 
Oya azali na bote naye ngana sengi tobina mama
Katee, katee (kate), katika kata (kata) kate katee,
Yako kata loketo mama yaka tobina mabina mboka
Yako kata loketo mama yaka tobina mabina mboka
Yako kata loketo mama yaka tobina mabina mboka
Yako kata loketo mama yaka tobina mabina mboka
Oooh mabina mboka yako kata loketo mamaaa