Chochote Utapata
by K-Lyinn
featuring Noorah
Aha
Chorus
Kama ni penzi labda utapata ukimwacha
(niambie nani huyo?)
Maybe chochote utapa unachokitaka
(ndio nachotaka hicho)
Nasema penzi labda utapa ukimwacha
(niambie basi nani huyoo?)
Ohh baby vyote utapata ukirejea hapa
(ndio nalotaka hilo)
Verse 1
Kila siku kaka unanifuata
Unadai ya kuwa unanitaka
(ndio ukweli)
Eti unanipenda unaniweza
Hulali bila mimi kuniona
Pesa unaleta sijakuomba
Naishi home kwetu bila shida
(makaratasi tu hayo)
Unanishangaza
Wewe unamchumba
Sasa kwangu ni nini unataka
Na anavyokupenda
Nimeshasikia
Nadhani ukimwacha atadata
Repeat Chorus
Verse 2
Oh no no no
Penzi kwangu ni thamani
(najua hilo)
Kutumiwa sikubali
(sijaja kwa hilo)
Naona kama unanigasi
sitaki
Ondoka nenda zako mbali
Ehh hee hee hee
(tuliza hasira baby)
Chorus
Verse 3 (Baba styles)
Hey hey hey
Mchumba ni damn no
Ninatacho si game no
Si kwa dos wala fame no
Easy X5, Benz au Lexus
Kinachokufaa ni penzi au ni Lexus
Usinizungushezungushe
Mpaka nikalia
Au furaha yako
Mpaka kidume nidondoshe tears
Penzi ndio Bonge la zawadi
Na wewe si unalihitaji
Niweke mimi incharge
Nikupe
Kuna vyovyote
Ninavyosaka
Wababaikizi chaa
Ni hivyo mimi nataka
Yeahhh
Kuitwa playboy sipendi me
So baby girl would you marry me
Yeh yeh yeh
Chorus
haha
Ni K-Lynn
K-lynn baby
Na baba styles yoh
Noorah
Said comoriee
Metro Studio
Chorus