Swahili Song Lyrics of East Africa

Danger

by Fid Q

Fid Q from Mwanza

J Bryant:
I am looking, she is looking/I love the way she work it
She is grinding, I am grinding/I love the way she is working it
Dangerx4..hatari hatari

Fid Q:
Groupies wapo tena lukuki, wapo cute zaidi yako unaweza sema mie ni mzushi
Laini kama sufi ngozi yako,maufundi yako, sina budi kuja kwako mwenzako nakuomba urudi
Sijala tangu juzi,siwezi lala bila movie, kama Fala umeniconfuse, mie wala hata sina chuki
Suti hizo hapo kama ni harusi ndo unataka, haujuti mie ni Rapper hapa Napata saluti
They shoot.. “PAAAH” I made you look,sio Love Letter ni Love Song kwenye Rhyme Book
FidQ sio mtu wa juu kwa juu,as you see I can’t leave so I do LOVE YOU

Repeat the chorus

Bridge: J Bryant
I see it in your eyes that you are the freaky type/looking at the way your body moves
Got me in the corner of avenue/and now am thinking you some maybe suit/got me in the corner grinding too
I do, I do, I do, I do the way that you move

2nd Verse:Fid Q
Kama za Chinese Chiwawa hizo kucha,upo sawa mzuka Mama,umenivuta sana nimepagawa nitakupa flowers
Napenda jinsi we Binti ulivyo Mtulivu,Msikivu,sio Mvivu,Mzabibu nikinge Bandidu nisife kwa Wivu
Hakuna nitakachoguna sana itaniuma ukinuna, nitajituma mie Msukuma kunichuna Mama sio ishu
Upo Sweet zaidi ya Ndizi za kiabakali, zaidi ya Sukari,zaidi ya Asali na una Figure flani kali

3rd Verse:Fid Q
Mkulima akimeza Mbegu Jembe halikosi mwenyewe,nahisi niliumbwa ili unipende yaani sio lazima unielewe
Naweza toa lakini mimi nisipewe,mimi ninaweza taka kukuoa kwenu wakakataa usiolewe
Haujali kulala Ghetto au kuzishampoo hizi Rasta,kama Dansa wa Loketto juu ya FidQ unavyokata
Upo na Mimi ‘Chill’ usilete usumbufu,na wasikutishe kwa Vimini tayari ushanivisha Vicheche Proof
Ulivyonitega ili kuonyesha hisia zako, nitakupenda zaidi ya unavyojipenda zaidi ya Mbwa wako
Nasinzia nikikuwaza japo we sio Wahu,nakufikiria fasta moyo unakimbia kama Babuu
Nasikia siku hizi mapenzi hayaendi bila Cash?hata kama ukimpenda mtu kama hana kitu usimuonyeshe
Na wenye nazo hawajatulia, wanawakatia mikwanja,wanawatumia, wanawaacha,wanawakimbia