Swahili Song Lyrics of East Africa

Noma

by Yung Sizza

Yung Sizza

Chorus:
Here We Go We Run The Town
Noma‚ .Ndo Maana Tunakimbikiza Kimtaaaaa
Here We Go We Run The Town
Nomaaaa‚ .Haha!!! Yeeeeeeeaaahhhhhhhh *2

Verse I: Yung Sizza

Huwezi Kuni Treat Like A Gabbage
Ukanifanya Mimi Kuwa Kama Laggage
Sio Kiraka Unavyodhani Kama Bandage

And Please Stop Saying Kuwa Gizz Am Retarded
Don‚t Care Who You Are, Sihitaji Hiyo Badge
This Is Who We Are Guarantee You Got Served
Gizzerachi Junior Hommie Hata Sikuhitaji
A-Amma Still Young Na Bado Nina Kipaji
Amma Best Rapper, Better Than You
Na Bado Nawachapa Zaidi Ya Level Za Majuu
I Can Stil Go Solo Na Bado Nikawa Juu

Swa, Swagga Ziko On Juu Kama Za Babuu
Take Out Ma Gunz..Pop‚..Le Le Let Them Pass
Take Out Ma Glass..Pop‚.Le Le Let Them Pass
Put Some Goggles On Bitch Co-Coz You Can‚t See
Am Nat Even Bright So A Degree

Chorus

Verse 2: Cyrill
Am Smart Genious Boy Kwenye Game Niite Fighter
Hii Mitaa Ina Giza Nachohitaji Nigga Lighter
Snitch, Mchizi Nikawa Back Bitter
Na Freeze Nasizi Nakesha Kama Vodka
Nilidhani Mtafurahi Nimetoka Kwenye Game
Kumbe Machizi Mnahate Nimepata Hii Fame
So What‚Mnanijua‚So What Mnaniskia‚
So What..Vipi Mwana ye Machizi Wanaaminia
Wanadhani Wanatujua Kumbe Wanatusikia
Me Ni Kid Ila Usinchukulie Poa
A.K.A 47 Tunazimimina
Me Sio Fake Original Siwezi Kuwa Mchina
Flow Iko Kwenye Bank Nachohitaji Atm Kuidraw
Tumeanzisha Huu Moto Na Wengine Wanafall
Hizi Style Za Kinyoko Zinatekenya Hawa Machoko
Mkono Mmoja Sio Moko..Ye Ye Ye Ye Local

Chorus

Verse 3: Joslin
Usione Kama Naifeel Hii Ngoma
Ndo Maana Kimtaa Nanyanyasa Inakuwa Balaa
Heeee‚Namaanisha Mwanangu Haa!!
Ndo Maana NaDharau ile Kinoma
Usiniletee Ishu Za Kunichanganya

Kunikoroga Ukafikiri Sina Maaana
Dah Muulize Wa Kigambo.
Jos Anajua Me Mtambo
About Ma Dad N Ma Mom man We All Good
Noma Mwanangu Family Am Good
Ingawa Ndo Hivyo Masnitches Wanakataa
Wanataka Kuleta Ishu Za Utata
Sniffin Cocaine smoking With My Mafian Connection
Am The New Generation
Joh-Joslin Am The Mover
Like Don Gwan‚Down Mover