Iokote
by Maua Sama
featuring Hanstone
Hey heey, Oh ooh yeah
Oh baby, niruhusu tufanane
Huku nikiamini one day, utanioa aah
Baby nikikuona nabanwa na haja
Baby nakuwaga kitutu ng’ang’a
Tell me nikipita kupa mawazo
Ooh baby kati nakutunuku mia mia
Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi usigande
Kama ruba nigande
Tuwe wote eeh
Aah come baby come babe
Msumali kwa nyundo nigonge
Oh Monday to Sunday
I love you
Mm oh basi (iokote)
Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha morili nachechemea
Oh yeah, baby, baby
Ikitoka kuoga nipende ya moto moto (aah)
Tinga moka kitenge totoke mtoko (aah)
Boda kwa boda tutembee (Chocho kwa choko)
Tena nikichoka nibebe (me kwako mtoto)
Aiye eh
Rafudhi ya Pemba rangiani hai (hai)
Nywele kihindi chambi chambi (hai)
Cheza rafu kona bambii, Mpoko mpoko
Hey
Refa katupa penatii (ahaa eeh)
Mpira ushawekwa katii (aah eeh)
Nahitaji magoli kwa chenga zako
Piga shuti nikudalie
Kwa kichomi nikande
Kwa moto baridi zigande
Kama ruba nikugande
Tuwe wote (eeh)
Uhuu yeah
Aah come baby come babe
Msumali kwa nyundo nigonge
Oh Monday to Sunday
I love you
Mm oh basi (iokote)
Sio kwa bed kwa kochi kitandani naichumia (iokote)
Nikiona kwa juu chini naizamia (iokote)
Sungura nipe karoti maharage sijazoea (iokote)
Nakunja goti napandisha morili nachechemea
Oh yeah
Baby, baby