Swahili Song Lyrics of East Africa

Katika

by Navy Kenzo

featuring Diamond Platnumz

Katika by Navy Kenzo featuring Diamond Platnumz, Swahili lyrics

Yeah yeah, oh na
Nahreel on the beat

Katika, katika aah eh, Katika, katika aah eh
Katika, katika aah eh, Katika, katika aah eh

Verse 1
Ninamidadi ka ya Rumba
Kibao kata kinyonga
Mfukoni namavumba
Nungu chini linasunta

Yani bo bo bo bo
Kananikoshaga ro ho ho ho ho 
Yani nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo wo

Baby girl dance for me one time (Secreto)
Miono feni kunata (Secreto)
Tena jifunge na ngata (Secreto)
Zile za kibao kata (Secreto)
Baby girl dance for me one time (Secreto)
Miono feni kunata (Secreto)
Tena jifunge na ngata (Secreto)
La la la la la la la la

Katika, katika aah eh, Katika, katika aah eh
Katika, katika aah eh, Katika, katika aah eh

Verse 2
Yani katot ni, kako ni ni ni
Kamekazika ni ngi ngi ngi
Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwi
Kana misifa shangi ngi ngi
Nilikavizia kitamboo (aaah eh)
Loe kamenasa chambo (aaah eh)
Nkapakia na mgando (aaah eh)
Kajegeje karambo (aaah eh)

Kana michenzo ngomani sindimba izombe
Nami nampatia za pwani muhogo wa jang’ombe

Yani eh eh eh eh eh eh
Kananikoshaga roho oh oh oh
Waga nasimama de de de dee
Kakitingisha wo wo wo wo

Ooh yeah,
ooh nadendeaa
Yani siwezi kutembea
Che cheme na checheme
Yani hadi na legea

Katika, katika aah eh, Katika, katika aah eh
Katika, katika aah eh, Katika, katika aah eh

Verse 3
Maumivu naugulia
Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu mang’ang’ania
Ndizi kwa nyuma napata mchecheto

Nakuna Nazi kwa mkongojo (aaah eh)
Naunga mchuza wa sotojo (aaah eh)
Una la rosti rojo rojo (aaah eh)
Mikunjo Fulani wa bogojo (aaah eh)

Kibao kata tenteme tenteme
Kilinge ni kuzama uchutame
Uwezi pata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene

Nikalaze kwa bed kitanda (kwa geto)
Nikachezeshe samba (roketo)
Na kalivo na body kinanda (secreto)
Tunguli zimenibamba (mobetto)

Katika, katika aah eh, katika, katika aah eh
Katika, katika aah eh, katika, katika aah eh