Swahili Song Lyrics of East Africa

Mateke

by Size 8

Mateke by Size 8, Swahili Gospel Music

Mateke, mateke, mateke
 
Chorus
Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke, mimi niko huru x2
Mateke, mateke, mateke
Sababu ya mateke, mimi niko huru x2
 
Verse 1
Wengi walinitazama wakidhani kuwa mi niko sawa 
Pesa, magari, na show kila mahali 
Ukweli ni kuwa sikukuwa na amani 
Machozi kila mara, huzuni kanijaa
Nilisumbuka we, nililia eh
Nilisumbuka we, hapo ndipo Yesu 
 
Chorus
Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke, mimi niko huru x2
Mateke, mateke, mateke
Sababu ya mateke, mimi niko huru x2
 
Verse 2
Huko nyumbani, mashida zakuandama 
Stima maji, hata bwana alienda 
Marafiki nao, zao wanakusemasema 
Hapa kule, wapi utaenda? 
Usilie we, usisumbuke eh 
Usilie we, sema nami sasa 
 
Chorus
Yesu amempa shetani mateke
Sababu ya mateke, mimi niko huru x2
Mateke, mateke, mateke
Sababu ya mateke, mimi niko huru x2
 
Outro
Kwa sababu ya mateke zake Yesu
Shetani naye, yeye ameshindwa 
Kwa sababu ya mateke zake Yesu 
Shida nazo, zote zimekwisha