Swahili Song Lyrics of East Africa

Mwanza

by Rayvanny

featuring Diamond Platnumz

Mwanza by Rayvanny featuring Diamond Platnumz

Vanny Boy
Eh Vanny boy
They are not ready for this

Chorus
Eh nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Hmm nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi
Eh nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Hmm nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi

Verse 1
Oya wind your waist
Njoo nipatie Commando
Nikupe cha mkwesi
Kwa miuno ya taekwondo
Asa chekele
Mwendo wa kandanda
Ndani ya nangwanda
Saa nisogezee
Leta msambwanda
Nikazie ngangangaa (chiii)
Kananivuta ghetto
Nkapinge bunduki (aii bunduki)
Ile naogopa central
Michezo ya Amber Rutty (Amber Rutty)

Chorus
Eh nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Hmm nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi
Eh nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Hmm nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi

Verse 2
Yaani kama mjaluo
Shepu ya Mombasa
Hapendagi mpasuo
Hata akishinda basata
Tepe tepe mtoto kama supu teke teke (kongoro)
Kwa mateke mwite Fally Ipupa wa Temeke (ndombolo)
Shaku shaku ya masai (Oh masai)
Kama nachuma papai (Oh papai)
Funika funua (twende)
Bandika bandua (twende)
Anika anua (twende)
Kanipa chukua (twende)

Chorus
Eh nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Hmm nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi
Eh nyege nyege
Kwetu mwanza nyegezi
Hmm nyege nyege
Nishushe mwanza nyegezi

Oya fiti kalikiti ti
katoto hakashikiki
kwenye bilingiti ti
Huvunjaga na kiti (oya)

Oooh sa iweke
Ah iweke iweke ah iweke
Ipitishe kwa chini
Ah iweke iweke ah iweke
Miendo ya kazi kazini
Ah iweke iweke ah iweke
Hii ile ndindindi
Ah iweke iweke ah iweke
Ngoja shake it ivoo
Ah iweke iweke ah iweke
Twende shaku kidogo
Ah iweke iweke ah iweke
Chuma magimbimbi
Ah iweke iweke ah iweke
Ah iweke iweke ah iweke