Nalia
by Diamond Platnumz
Me niliambiwa mapenzi ni kama bahari, ukishazama ndo basi umepotea,
kumbe mwenzangu alikuwa na ta…,
badala ya kuzama me kwangu akaelea,
akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana,
mikwanja nikamwaga mama, japo sio kivile …….,
akawa ananidanganya nikiwa nadhani ananipenda sana,
mbona mifedha nikamwaga mama,japo sio kivile …….,
wakaja wajinga wakamchukua, wakamhonga honga mwisho wakamnunua,
wajinga wakamchukua, wakamhonga honga mwisho wakamnunua ayayayayaaaa
Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi,
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia nalia nalia na mengi,
uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
Najua alimaanisha kuwa simfai ila lakini angesema,
kuliko alichofanya me akantoa nishai akanimeza akanitema
nyie mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya,
mmmmhhhhh mapenzi yanauma vibaya vibaya vibaya
…. safari ndo inanifanya mi usingizi sipati,
huwa nakumbuka mbali hasa nikisikia harufu yake ya marashi
me kwa uchungu nilivyoumia katika hili songi……
nalia, nafuu ….. kwa hisia naimani iko siku nyimbo itamfikia
me kwa uchungu nilivyoumia mie katika songi……
nalia, nafuu ….. kwa hisia naima ni iko siku nyimbo itamfikia
ayayayaaaa
Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi,
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia nalia nalia na mengi,
uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi
[Chid Benz]
Usione nakosa raha mama nalalama kwako mara kadhaa,
we ni msaada kwenye tuta so ukichomoka balaa
sijiwezi kwangu giza naweza kimbiza na hii taa,
na hilo unajua inavyoumiza ushashuhudia mara kadhaa
….wezi wakung’ang’anie ninung’unike nilie,
njia yetu moja niache nipite si ukasimulie
…… ya kinyamwezi na swaga zako juu ,
na miguu napata picha kitandani kungfu
uko juu ukipita lazima wasome namba,
we ndo kibri fimbo kiboko ya midomo mamba
huu ndo mfano hata unajua neno pamba si ……..
kwa kitambo ntakulinda kama mkinga mwenye shamba
mikogo kila leo ntajigamba……kisela piga teke inauma
usiombe mapenzi yakupige teke inauma,
usiombe mapenzi yakupige teke eeeh bounce
[Diamond]
Usinione nalia usinione nalia mwenzenu nalia na mengi,
Usinione nalia nalia sababu ya mapenzi
mwenzenu nalia nalia nalia na mengi,
uuuhhhh jamani nalia nalia sababu ya mapenzi