Swahili Song Lyrics of East Africa

Nibebe

by Aslay

Nibebe Lyrics by Aslay

Labda mapenzi yawaumiza roho zao
Eti kwengine sipati sijiwezi 
Ndo maneno wasema, kwamba  
kwako sifurukuti sijiwezi
Nidivyo hivyo wanavyosema
na mimi nanyamaza kimya nakupenda
naogopaa nikikuona nakuwa kimya 
Sina cha kusema nakupenda 
Labda sina faragha nashuka kupanda ila nakupenda 
Mimi kwako ni mjinga sinaga ujanja waache wanaoponda

Kama chumba mi dalali (ahh)
Penzi letu lifike mbali (ahh)

Chorus
Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (hata kama nikining’iniza miguu)
Nibebe bee (wanataka niwe chini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)

Nimesikia wamekuundia na group matusi matupu
wanakunyanyasa wanakutukana jitoe
Usiwe mchonga vinyago utanifirisi
mwisho wa siku tukigombana ikawa hadithi
Wee kitumbo mbelembele kwa kuku na chipsi
usiyeacha hata mifupa utakuwa fisi

Kama chumba mi dalali (ahh)
Penzi letu lifike mbali (ahh)

Chorus
Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (hata kama nikining’iniza miguu)
Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)

Nibebe bee (nakupenda usiwe na makuu)
Baby nibebe bee (hata kama nikining’iniza miguu)
Nibebe bee (wanataka niwechini wao juu)
Mpenzi wee nibebe bee (ahh ahh)