Sukari
by Zuchu
Eyoo Trone
(Ayolizer)
Verse 1
Eti nimemlambisha
Ananiambia chombeza
Tena nikiizidisha
Ananiambia koleza
Nikitaka kusitisha
Ananiambia ongeza
Japo imedhibitishwa
Ila itampoteza
Hook
Ikipanda ni balaa
Ikishuka ndo hatari
Asijepata madhara
Akaikosa na hali
Ladha yake msala
Shira ya Kizanzibari
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa
Chorus
Aii sukari
Ah sugar sukari
Sukari
Ah sugar sukari
Sukari
Sugar sukari
Sukari
Ah sugar sukari
Yelele, yelele
Verse 2
Na akilia njaa
Ju njaa sifanyi ajizi
Namjazia jar
Ju jaa na vitangawizi
Baba chanja, baba chanja
Chukua vyote chukua
Vitafune nganja nganja
Chagua mwaya chagua
Ujiboosti na karanga ee
Tuliza na kitumbua
Jihadhari na majanga wee
Usije ukaugua maana
Hook
Ikipanda ni balaa
Ikishuka ndo hatari
Asijepata madhara
Akaikosa na hali
Ladha yake msala
Shira ya Kizanzibari
Na mi simpi mi wala
Akitaka nampa
Chorus
Aii sukari
Ah sugar sukari
Sukari
Ah sugar sukari
Sukari
Sugar sukari
Sukari
Ah sugar sukari
Bridge
Nimroge kwanini kashaninogea
Dambua, dambua
Utamu wa sukari ni tamu kolea
Dambua, dambua
I say my boo dambua
We dambua
Halua halua
We dambua
Nasema da dambua
We dambua
Nawa kama unafua
Kiguru nyanyua