Swahili Song Lyrics of East Africa

Sauti ya Dhahabu

by Top in Dar (TID)

Kiitikio
Oh siamini
Kama tupo wote (2x)
Mimi na wewe (2x)
Verse 1
Wajua pendo letu lilipotoka
Ni mbali sana mpenzi siwezi sema
Milima na mabonde mingi tumeshuka
Oh, maneno mengi walisema, kote bara
Visiwani oh oh oh
Kidani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini
Rudia Kiitikio 2x
Oh yeah
Verse 2
Taarifa hii timamu
Tulika na kitimu timu
Tulishanakuwa pwani
Na mambo ya baharini
Sijiwezi hasilani
Mwenzio nipo taabaniiii oh oh oh
Kidani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini

Rudia Kiitikio
Verse 3
Hallo hallo, hebu nieleze manake natoka zangu zanzibari nafika darisalama
Kula kona nasikia siamini kwani nani huyu kijana
T, I, D, allaa kumbe weye
Yuwapiwee, (hallo hallo)
Yuwa-pieee mama ke harusi aje hapa tuhangaike naye
Yuwapiee
Yuwapiee baba yake harusi aje hapa tuhangaike naye
Yuwapiee
Yuwapieee kaka ‘ake harusi aje hapa tuhangaike naye
A hapa (Sema nao bassiiiiiiiiiia halooo kwa raha zangu)
Eti aje hapa (2x)
Sema tena aje hapaaaaa ooooohhh
Rudia Kiitikio 3x