Unconditionally Bae
by Sauti Sol
featuring Alikiba
We all need love,
We all need affection,
And the way that you’re looking at me,
I can feel a connection
Unanibamba baby, kwanza unavyochekecha
Kinywaji kwa mkono, na kibeti kwa bega
Juu sikuizi madem wanapenda doh
Na machali pia tunazo drama,
Ya dunia ni mengi sana, no commitment mama
So nipe nafasi,
Nikupe mapenzi yangu ya kiluhya,
hallelujah
We all need love,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me,
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
We all need love,
Me I need a wife, wa kuishi na yeye
Fuata vijana utakufa mapema magonjwa yamejaa,
Jina langu Ali, sasa lazima nilee
Nikikosa kula, nawe ndo chakula, nitakonda mazima,
And I believe, nitakuwa na wewe,
Mwanzo mpaka mwisho,
And I believe, baby
We all need love,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me,
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
We all need love,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
We all need someone,
Nakupenda,
Tena nina imani sana
Ushanitega, ushanitega
So make love to me,
Unconditionally bae, unconditionally bae
Make love to me
Unconditionally bae, unconditionally bae
Ali, Bumaye
Sauti Sol, Bumaye
East Africa, Bumaye
Tanzania Kenya Bumaye
Kigali, Bumaye
Bujumbura,Bumaye
Kampala,Bumaye
Kinsasha,Bumaye
Bumaye,
Dar es Salaam, Dar es Salaam, Bumaye
Bumaye,
Bumaye,
Bumaye.