Wanok nok
by Domokaya
featuring Mandojo and Lady Jaydee
Ulimwengu huu una mambo heti nawe waijua dini
Uishi kutamba maskani kuwa umiss ukosi msikitini
Ni mmoja Kati ya wakaliao mambo poa
Nikipita mkosoa kodoa kisha sogoa mimate ikupalie kohoa
Ndo ushavumbua jipya na hili jingine halijakwisha
Kakatika wa aibu mshipa haufai hata kwa service
Unamtambulisha kwa dem wako leo kesho amewahi kufika
Si ana faham ratiba msela huwa anaenda saa tisa
Ana tia tim saa sita kuyakaanga na kuyapika
Usifate hisia zake mnoko atakuumiza kichwa
Kwa sifa akizidisha Domokaya hakufai kabisa
Ndo mkunja ndita asiye vumilia furaha ya mfa haki
Nna kiu nisiguse mtungi hata tone la mvuke wa bati Unoko staki Katia VAT Wengine wa mama watu wazima
Wenye kuchamba wima wamezaliwa wanasema
Si Safi sa kusema hat naigiza act za kid
Heti nyimbo ya kaka poa huyu jamaa inamuhusu naaanii