Swahili Song Lyrics of East Africa

Tetema

by Rayvanny

featuring Diamond Platnumz

Tetema by Rayvanny, featuring Diamond Platnumz, Bongo Flava Lyrics

Aya twende tetema (oh mama tetema)
Tipo tipo tetema (oh mama tetema)
Aya twende tetema (oh mama tetema)
Shuka chini tetema (oh mama tetema

Its s2kizzy beiby

Tetema yaani kama umepigwa shoti
Tetema nipe migandisho ya roboti
Tetema ukutani hadi kwenye kochi
Tetema kwenye giza mama shika pochi

Katoto kamenoga (oh mama)
Nakapandiza za bukoba (oh mama)
Nakapadisha bodaboda (oh mama)
Kakichoka kuchuma mboga(oh mama)

Aaai mama shigidi aah
Nakufa wooi wikidi aai
Aaai mama shigidi konki
Fire, motoo, liquidi

Aya twende tetema (oh mama tetema)
Tipo tipo tetema (oh mama tetema)
Aya twende tetema (oh mama tetema)
Shuka chini tetema (oh mama tetema)

Aya twende tetema (oh mama tetema)
Tipo tipo tetema (oh mama tetema)
Aya twende tetema (oh mama tetema)
Shuka chini tetema (oh mama tetema)

Tetema
Yaani kama vile generator (tetema)
Kama mwizi kakupiga ngeta (tetema)
Mwendo wa kutunga kupepeta (tetema)
Chini nikipuliza tarumbeta

Asa wooza, wooza, cheza shogoloza
Kufa chali kama mende
Maria Roza poza tungi limepoza
Twende nikupige nyembe (brrr okay)

You make my mind go kololo(kolooo kolo)
Ukinuna tu mie toro(torooo toro)

Washa! Saa nipe za digidigi
Washa! Miuno ya kiki kiki
Washa! Funga kibindo mkwichi kwichi
Washa! Nikunyonge ka zigizigi

Teeete
(oh mama tetema)
Tipo tipo tetema (oh mama tetema)
Aya twende tetema (oh mama tetema)
Shuka chini tetema (oh mama tetema)

Aya twende tetema (oh mama tetema)
Tipo tipo tetema (oh mama tetema)
Aya twende tetema (oh mama tetema)
Shuka chini tetema (oh mama tetema)

Ayo Lizzer, chii
Kichaa kime-kime-kimempata
Ame we who kime-kimempata
Kapandisha mizuka kime-kimempata
Ana ruka ruka kime-kimempata

Kichaa kime-kime-kimempata
Kapanda juu ya meza kime-kimempata
Eti anavua shati kime-kimempata
Na leo anatesa kime-kimempata
Yaani varangata
Wasafi